Shika Adabu Yako!

Shika Adabu Yako!

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
1,660
Reaction score
1,679
Nimeongozana na dadangu badala ya kusubiri nikutambulishe unajitia uchizi na kumuita shemeji....shika adabu yako!

Ni kweli dadangu kajaaliwa kunyerokunyero (a.k.a chura) lkn isiwe sababu ya kupiga miruzi na kunipongeza kuwa ninafaidi.

Ndugu zanguni siyo kila jinsia 2 zinapo tembea pamoja barabarani ni wapenzi, kuna akina dada, mashangazi, wafanyakazi wenzetu, mashemeji zetu, n.k

Wewe mwenye tabia hii shika adabu yako.
 
Mwenye Dada hakosi shemeji mwenye ngoma hakai chini
 
Sasa kama anamla dada yako ataacha kukuita shemeji?
 
Back
Top Bottom