Shikamoo Alikiba, shikamoo Diamond!

Shikamoo Alikiba, shikamoo Diamond!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu, chuki, ushamba, kukosa akili, kukosa kazi za kufanya, kuchanganyikiwa na hali ngumu ya maisha kutokana na bro magu kubana sana, ushabiki wa kijinga,kufake ugreat thinker, shobo na kufuata mkumbo!! pamoja na yote hayo, jamaa (alikiba) yuko cool na anapiga kazi tu kwa kadiri anavyojaaliwa na Muumba. pesa ya kula anatengeneza, tena ya kuwazidi wengi tu humu!!

shikamooo kubwa kwako alikiba.

diamond:
huyu jamaa ni mwanamuziki hodari kabisa. anajua kukitumia kipaji chake vema tu katika kujitengenezea mpunga. hakati tamaa na amefanikiwa kuviruka viunzi kadhaa vya watu waliojaribu kumkwamisha. humu JF anapendwa mno na kila anachofanya lazima asifiwe sana tu. hata wimbo wa BABA LAO nao ulisifiwa sana na kuonekana kuwa ni wimbo bora kabisa. ana uswahili flani kama kupenda kurusharusha vijembe kwa wenzake n.k.
nampa shikamoo kwa ujanja wake uliotukuka wa kuweza kuwabadilisha watu kijanja sana. alipoona watu wengi humu wanamchukia makonda basi akatumia ufahamu wa kupendwa kwake humu kubadilisha hilo. alikuja na wimbo wa BABA LAO na humo akawaambia wanaJF kuwa makonda na mwakyembe ni mababa yao.....sasa wamelikubali hilo na wanauimba huo wimbo vizuri na kwa heshima kubwa.

alipoona watu wanamchukia sana tulia ackson humu, juzi akaenda huko mbeya kupokelewa nae.......sasa hivi wanaJF wako bize kurusha threads za kuzungumzia kukubaliwa kwa tulia na uwezekano wake mkubwa wa kumng'oa Sugu.

huko nyuma, wakati wa sakata la vyeti na habari za bashite zimepamba moto humu JF, aliwahi kutoa kibao 'bora nikae kimya' ambako moja ya mistari yake aliwashangaa watu (JF bila shaka) wakibishana tu mambo ya vyeti badala ya kwenda kutafuta senti. ghafla wanaJF wakatulia na kubaki wakiuimba huo wimbo.

shikamoo diamond!!!
 
Mondi ni babalao hutaki jitundike msalabani

Sent using Jamii Forums mobile app
hoja ni kuwa amefanikiwa kutugeuzia mtu, kutoka kumponda kila namna na kumdhihaki, hadi kuwa baba yetu. namzungumzia mheshimiwa makonda! ndiyo maana nimempa shikamoo kubwa diamond. mjanja sana.sasa hivi wengi humu ni watoto wa ni watoto wa makonda
 
Acha utani basi ..yani diamond kuimba makonda baba lao ndio tumuone Makonda wa tofauti?
Huku ni kutukosea heshima wana jf..

Hapo lengo lako ni kumsifia kibakuli tu...

dah, JF bwana! nongwa mno!! basi itabidi wengine tusiongee bali tusome tu thread za wengine. sasa hapo nimemsifia vp kibakuli?!!!
 
Hapo mlengwa mkuu ni Diamond platnumz kwa huu Uzi na siyo Ali Kiba.
Huja balance hata kidogo umeegemea upande mmoja ndugu,Sijajua imewaza nini au X_Mass ulikula matikiti.
kama unayo hayo matikiti nitag mkuu. pole kwa kupanick ila hatuwezi kuwaza kwa kufanana! halafu mi wanamuziki nawazungumzia km sehemu tu ya burudani.....
 
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu, chuki, ushamba, kukosa akili, kukosa kazi za kufanya, kuchanganyikiwa na hali ngumu ya maisha kutokana na bro magu kubana sana, ushabiki wa kijinga,kufake ugreat thinker, shobo na kufuata mkumbo!! pamoja na yote hayo, jamaa (alikiba) yuko cool na anapiga kazi tu kwa kadiri anavyojaaliwa na Muumba. pesa ya kula anatengeneza, tena ya kuwazidi wengi tu humu!!

shikamooo kubwa kwako alikiba.

diamond:
huyu jamaa ni mwanamuziki hodari kabisa. anajua kukitumia kipaji chake vema tu katika kujitengenezea mpunga. hakati tamaa na amefanikiwa kuviruka viunzi kadhaa vya watu waliojaribu kumkwamisha. humu JF anapendwa mno na kila anachofanya lazima asifiwe sana tu. hata wimbo wa BABA LAO nao ulisifiwa sana na kuonekana kuwa ni wimbo bora kabisa. ana uswahili flani kama kupenda kurusharusha vijembe kwa wenzake n.k.
nampa shikamoo kwa ujanja wake uliotukuka wa kuweza kuwabadilisha watu kijanja sana. alipoona watu wengi humu wanamchukia makonda basi akatumia ufahamu wa kupendwa kwake humu kubadilisha hilo. alikuja na wimbo wa BABA LAO na humo akawaambia wanaJF kuwa makonda na mwakyembe ni mababa yao.....sasa wamelikubali hilo na wanauimba huo wimbo vizuri na kwa heshima kubwa.

alipoona watu wanamchukia sana tulia ackson humu, juzi akaenda huko mbeya kupokelewa nae.......sasa hivi wanaJF wako bize kurusha threads za kuzungumzia kukubaliwa kwa tulia na uwezekano wake mkubwa wa kumng'oa Sugu.

huko nyuma, wakati wa sakata la vyeti na habari za bashite zimepamba moto humu JF, aliwahi kutoa kibao 'bora nikae kimya' ambako moja ya mistari yake aliwashangaa watu (JF bila shaka) wakibishana tu mambo ya vyeti badala ya kwenda kutafuta senti. ghafla wanaJF wakatulia na kubaki wakiuimba huo wimbo.

shikamoo diamond!!!
Uzi wako mzuri ila umeharibu tu ulivyomtaja alikiba sasa huyo alikiba anafanya kazi ipi yakumfanya umuandikie Uzi kiba kashaisha sasa hivi.
 
KIBA KAISHA EEH...
Screenshot_2019-12-27-17-50-45.jpeg
Screenshot_2019-12-27-17-50-48.jpeg
Screenshot_2019-12-27-17-50-42.jpeg
Screenshot_2019-12-27-17-51-09.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu, chuki, ushamba, kukosa akili, kukosa kazi za kufanya, kuchanganyikiwa na hali ngumu ya maisha kutokana na bro magu kubana sana, ushabiki wa kijinga,kufake ugreat thinker, shobo na kufuata mkumbo!! pamoja na yote hayo, jamaa (alikiba) yuko cool na anapiga kazi tu kwa kadiri anavyojaaliwa na Muumba. pesa ya kula anatengeneza, tena ya kuwazidi wengi tu humu!!

shikamooo kubwa kwako alikiba.

diamond:
huyu jamaa ni mwanamuziki hodari kabisa. anajua kukitumia kipaji chake vema tu katika kujitengenezea mpunga. hakati tamaa na amefanikiwa kuviruka viunzi kadhaa vya watu waliojaribu kumkwamisha. humu JF anapendwa mno na kila anachofanya lazima asifiwe sana tu. hata wimbo wa BABA LAO nao ulisifiwa sana na kuonekana kuwa ni wimbo bora kabisa. ana uswahili flani kama kupenda kurusharusha vijembe kwa wenzake n.k.
nampa shikamoo kwa ujanja wake uliotukuka wa kuweza kuwabadilisha watu kijanja sana. alipoona watu wengi humu wanamchukia makonda basi akatumia ufahamu wa kupendwa kwake humu kubadilisha hilo. alikuja na wimbo wa BABA LAO na humo akawaambia wanaJF kuwa makonda na mwakyembe ni mababa yao.....sasa wamelikubali hilo na wanauimba huo wimbo vizuri na kwa heshima kubwa.

alipoona watu wanamchukia sana tulia ackson humu, juzi akaenda huko mbeya kupokelewa nae.......sasa hivi wanaJF wako bize kurusha threads za kuzungumzia kukubaliwa kwa tulia na uwezekano wake mkubwa wa kumng'oa Sugu.

huko nyuma, wakati wa sakata la vyeti na habari za bashite zimepamba moto humu JF, aliwahi kutoa kibao 'bora nikae kimya' ambako moja ya mistari yake aliwashangaa watu (JF bila shaka) wakibishana tu mambo ya vyeti badala ya kwenda kutafuta senti. ghafla wanaJF wakatulia na kubaki wakiuimba huo wimbo.

shikamoo diamond!!!
Mbona unawalinganisha watu wanaoimba aina mbili tofauti za mziki? Mondi anaimba Porn Flavor, Kiba anaimba Bongo Flavor! Labda tumfananishe mondi na mbosso khan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom