Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Zitamsaidia kesho akhera!!!!???
We una nini cha kukusaidia kesho....kesho anaijua Mungu tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitamsaidia kesho akhera!!!!???
"Aliyeko juu mngoje chini"
kwenye gari zote hapo nimeona Range tu......dah gari tamu hilo....
Shoga twende hapo basi tukaombe kazi hata ya uhausigeri tu
Umeskia wapi wafanyakazi wa azam wakilalamikia mishahara?
Ndio maana kajificha maana huu ni upendeleo wa hali ya juu eti hapo utauamini ule msemo wa watu wote ni sawa duniani???
"Aliyeko juu mngoje chini"
nimekumbuka ghafla swimmingi puul ya mtu. oh no msingi wa swimming puul.
Safisha kwapa kwanzal
Umeskia wapi wafanyakazi wa azam wakilalamikia mishahara?
Watu wote wapo sawa. Malazi ni pale pale kipembeni tajiri na maskini wote wanalala kipembeni.
Kula wote wanakula kwa mdomo ule ule na tumbo lile lile.
Mavazi mbona kawaida tofauti ni bei tu.