Shikamoo Azam

Safi sana, ndoto nzuri. Ni kuzifikia tu
 
hii ya kwangu iko kwa mtogore msiniroge tu nimeogopa kuonyesha magari nyie mnafikiri tajiri bakheresa peke yake tupo tu
 
Jamani kwa magari hata pale Magomeni Kondoa kigorofani karibu ya Bi Nyau napo si haba kwa magari ya wachache
 
Ndio maana kajificha maana huu ni upendeleo wa hali ya juu eti hapo utauamini ule msemo wa watu wote ni sawa duniani???


Watu wote wapo sawa. Malazi ni pale pale kipembeni tajiri na maskini wote wanalala kipembeni.
Kula wote wanakula kwa mdomo ule ule na tumbo lile lile.
Mavazi mbona kawaida tofauti ni bei tu.
 
nimekumbuka ghafla swimmingi puul ya mtu. oh no msingi wa swimming puul.
 
Mi ningeshakua zaidi ya Azam sema najifanyisha tu... n'sije nikaukosa uzima wa milele bure... Jesus nae, aaaargh! Angejua jinsi akina Braza Gwajima wanavyopiga mavumba huku, ye kaishia kula mikate ya dona tu na samaki wakavu!
 
Watu wote wapo sawa. Malazi ni pale pale kipembeni tajiri na maskini wote wanalala kipembeni.
Kula wote wanakula kwa mdomo ule ule na tumbo lile lile.
Mavazi mbona kawaida tofauti ni bei tu.

kifo ndo kinachowaweka watu wote level moja angekuwepo wa kuzikwa angani mwingine chini hapo ningezisaka usiku na mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…