kwenye gari zote hapo nimeona Range tu......dah gari tamu hilo....
Picha ya Juu ya kwanza ni Audi Q7 price 250m,ya pili ni Customize Benzi price 300m ya tatu ndio range shikamooo bakhresa.
some people are living. others are just existing.....this guy is living.
Maisha bila YESU ni kazi bure tu
Shikamooo Bakhresaaaaa!!
Mbebezii jamani au kwapa la mumeo linakuchanganya mpaka unahisi ni la kwangu eee,tumieni degrees mkishindwa nunueni Nivea
Hili gari bei kubwa lakini lina sura mbaya,ile kama ya Jide nzuri
Kabisa bei kubwa sana bora angenunua kama ya Gwajima H2 Hummer.
Hili gari bei kubwa lakini lina sura mbaya,ile kama ya Jide nzuri
Kwapa lako kama kishimo cha mdako.
bali utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni..........................Maisha bila YESU ni kazi bure tu
Umeshawahi kuendesha??