Shikamoo Azam

Shikamoo Azam

mkuu naona unabishana na mfumo dunian kote mtu analipwa kutokana na kiwango cha elimu yake km wanaona 8000 haiwatoshi waache kazi wakawe wajasiriamali hta hyo bakheresa angeamua kuwafanyia kazi watu wengine mpk leo angekuwa maskini...... kwa hyo ni suala la uamuzi km utaamua kumfanyia kazi umtajirishe mtu au ufanye shughulo zako mwenyewe utajirike

Mkuu kama kweli anawalipa vibarua 8000 kwa siku basi analipa vizuri sana nenda industrial area mikocheni uulize wanalipwaje kwa siku utajuta kuuliza wengi wanalipwa 3000 day ukiingia usiku unalipwa 4000 yani ni sheeedaaa! Shikamoo bakhresa!!
 
Kwa mavumbi tuliumbwa na mavumbini tutarudi! Tafuteni ufalme Wa Mungu na hayo yoote mtazidishiwa!
 
Back
Top Bottom