Mtoto halali na pesa, jina lako tu ni ushauri tosha kwa mtoa uzi.Tatizo ni aina ya biashara
Mkuu wwe kuna kitu umegunduaHuwa nawashangaa watu ambao sio wafanyabiashara na wanalia eti maisha magumu. Zaman nlikuaga nashangaa ndg yangu mmoja ana duka kubwa sana ila ukimuomba hata buku anasema hana, nikadhan ana roho mbaya. Miaka hii najionea mwenyewe, hadi nataman nikamuombe msamaha
Azingatie hiloMtoto halali na pesa, jina lako tu ni ushauri tosha kwa mtoa uzi.
Nina uzoefu hata?Tusaidie basi mzoefu
Nimepigwa kitu kizito mno mkuu😅Kuna nini tena mkuu Mbona utueleweshi?🤣🤣
Hahahaha mrangi ana nini tena?Pole sana biashara ni ngumu ila ni ngumu kabisa kama umepakana na Mrangi....
Ww jaribu kuulizia habari zao mkuu utajua why...Hahahaha mrangi ana nini tena?
Mwaka bado mbichi huu, usikate tamaa2024 niliweka malengo ya biashara.. aisee nimepigwa na fataki
Eti kontenaa la miti[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Ukute ni kontena la miti ya Xmas ndo limeingia Feb hii [emoji851] Xmas ishapita, na nyingine bado iko mbali