Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Tusaidie basi mzoefuGuna tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidie basi mzoefuGuna tu
Ndugu yangu; siku zote hakuna mwanzo rahisi hata siku moja, kila mwanzo una ugumu wake ila tu uvumilivu, ujasiri na namna bora y a kuzikabili changamoto ndiyo huweza kutofautisha mafanikio ya kibiashara kutoka kwa Mtu mmoja kwenda kwa mwingine.Wakuu
Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
Yeah..ukiweza kuvumilia mwanzoni ni hatua muhimu ya kuizoea biashara (sio kufanikiwa). Ukifika hii hatua unakuwa huogopi hasara, huogopi kupoteza wateja, huogopi competition n.k .mindset yako unakua free kiasi kwamba the fear of failure becomes not an issue any more.Mwanzo hua ni mgumu,endelea kukomaa utatoboa tu,usikate tamaa.
Sahihi kabisa,Yeah..ukiweza kuvumilia mwanzoni ni hatua muhimu ya kuizoea biashara (sio kufanikiwa).
Ukifika hii hatua unakua huogopi hasara, huogopi kupoteza wateja, huogop competition n.k .mindset yako unakua free kiasi kwamba the fear of failure becomes not an issue any more. Hapa unakua tayar kukabiliana na challenge yoyote huku akil yako iki focus katika ku grow zaid, nifanye nini kupiga hatua.
Muhim sana hii stage
💯💯💯💯Hapo pagumu sasa kazia papo hapo , biashara ni ujulikane tu mbona with time utamake tu
Sio hasara. Ile too much. Mtaji umepigwa. Nina madeni (wafanyakazi, mwenye fremu, fundi fenicha za ndani, na mali kauli) Nina ugomvi na watu...Mkuu umevuna hasara ama ni nn tujuzane kdg
Tatizo alijipanga kwa faida zaidi akasahau kua biashara ina hasara pia hasa mwanzoni unapoianza.Unafungua biashara bila kuwaza kodi ya mwakani hutoboi n'goo
Biashara asilimia zaidi ya 60 huwa zinakufa miaka 2 ya kwanza FACT
Ukipasua hapo basi jipange zaidi
Lazima ujue matumizi ya hiyo biashara yako la sivyo utajikuta unakula zaidi ya unachoingiza
Hii mindset huwa tunakuwa nayo wote tukianza biashara😂 . Ni prematurity mindset sasa mazingira ndio yanakupiga shule ya uhalisiaSahihi kabisa,
Tatizo hawa vijana wa siku hizi anataka jambo alianze leo kisha faida aipate leo leo.
Mkuu, nilijipiga 2023 kufika Nov nina Mil 3 ya mzigo nikatafuta na hela ya fremu nikalipa 3/6 miezi, nikampa fundi fenicha nusu aniandalie fremu, watu wa decorations na mabango, etc.. nikaingia mzigoni.. aisee..Pole sana, ila usikate tamaa, ni kupambana na kumwomba Mungu pia!
😂😂😂 pole sana kamanda. Kiswahil huwa hakiepukiki ukishaingia huku. Kuna time usipokuwa makini unaweza jikuta unakua muongo muongooooSio hasara. Ile too much. Mtaji umepigwa. Nina madeni (wafanyakazi, mwenye fremu, fundi fenicha za ndani, na mali kauli) Nina ugomvi na watu...
Pole sana mkuu usikate tamaa, tuendelee kupambana sana mimi nataka niende Kahama nikaangalie biashara ya mpunga Mungu anisaidie tu.Sio hasara. Ile too much. Mtaji umepigwa. Nina madeni (wafanyakazi, mwenye fremu, fundi fenicha za ndani, na mali kauli) Nina ugomvi na watu...
Kama unachanganya na ajira kweli ni changamoto2024 niliweka malengo ya biashara.. aisee nimepigwa na fataki
Mbona bado mapema mkuu?2024 niliweka malengo ya biashara.. aisee nimepigwa na fataki