Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Makamba maropeJanuary January
Mpaka uishe hali sijui zitakuaje maana ndio kwanza wiki moja na siku mbili sasa ilaaa hatariiiiMwezi huu una wiki 5...kweli chamoto tutakiona
Yote Tisa sasa usiombe kama umeoa na mkeo kajifungua januaryJanuary dume,michepuko inahaha njia kuu imebana ada za watoto unajikuta una madeni mpaka unasahau kwa mangi ulikopa nini,kwa mpemba ulichukua nini unachokumbuka ni kubadilisha njia tu msionane mapema
Ndo utakapo jua wanaume tumeumbwa mateso ina maana gani dadeki.....Yote Tisa sasa usiombe kama umeoa na mkeo kajifungua january
Ha ha ha ha haaa akyamungu kwa mateso hayo asante mungu kwa kuniumba KE....maana unaweza tembea unaongea njiani peke yako kama chiziNdo utakapo jua wanaume tumeumbwa mateso ina maana gani dadeki.....
Unaweza sema umesingiziwa mtoto kumbe stressYote Tisa sasa usiombe kama umeoa na mkeo kajifungua january
ππyahn unaanzaje visababu Mara hizi kucha mbona hazifanani na Mimi sisi kwenye ukoo wetu hakuna mwenye kichogo huyu mtoto kakitoa wapi....ππππUnaweza sema umesingiziwa mtoto kumbe stress
Ukitaka kujua dunia tambara mwezi huu mke na mtoto waumwe nakwambia hadi kichina utakijua na kuiongea kabisaaHa ha ha ha haaa akyamungu kwa mateso hayo asante mungu kwa kuniumba KE....maana unaweza tembea unaongea njiani peke yako kama chizi
Ha ha haaa ndio mnaanza kusema mnajudekeza tu we kihoma kidogo tu mkubwa mzima jikazeee...kumbe mifukoni emtyUkitaka kujua dunia tambara mwezi huu mke na mtoto waumwe nakwambia hadi kichina utakijua na kuiongea kabisaa
Ha ha ha umenichekesha mkuu umenikumbusha siku moja maeneo ya magomeni kuna jamaa alikuwa bara bara ya k koo kwenda kimara pale kituo cha mapipa anajilusha hovyo barabarani ili GARI imgonge afe kisa majukumuTatizo salary zenyewe zilitoka tarehe 17.. kumbe mwajiri alisahau kusema kuwa hiyo salary aliyotoa tarehe 17 inatakiwa kuanza kutumika January mosi na si vinginevyo
Hadithi za kuna mkono wa mama juma anashirikiana na mzee jongo nyiiingi!Januar.......kweli komesha.Wanaoudhi sana ni hawa waganga wa kienyeji wao hawana gonjwa lingine zaidi ya umerogwa au umechafuliwa nyota yaani nao eti ni kipindi cha kuchuma.Yaani ni stress juu ya stressHa ha haaa ndio mnaanza kusema mnajudekeza tu we kigoma kidogo tu mkubwa mzima jikazeee...kumbe mifukoni emty