Shikamoo January

Shikamoo January

Tatizo salary zenyewe zilitoka tarehe 17.. kumbe mwajiri alisahau kusema kuwa hiyo salary aliyotoa tarehe 17 inatakiwa kuanza kutumika January mosi na si vinginevyo
Ha ha ha umenichekesha mkuu umenikumbusha siku moja maeneo ya magomeni kuna jamaa alikuwa bara bara ya k koo kwenda kimara pale kituo cha mapipa anajilusha hovyo barabarani ili GARI imgonge afe kisa majukumu
 
Ha ha haaa ndio mnaanza kusema mnajudekeza tu we kigoma kidogo tu mkubwa mzima jikazeee...kumbe mifukoni emty
Hadithi za kuna mkono wa mama juma anashirikiana na mzee jongo nyiiingi!Januar.......kweli komesha.Wanaoudhi sana ni hawa waganga wa kienyeji wao hawana gonjwa lingine zaidi ya umerogwa au umechafuliwa nyota yaani nao eti ni kipindi cha kuchuma.Yaani ni stress juu ya stress
 
Back
Top Bottom