Shikamoo January

January noma sana!
Kuna jamaa kataka kuniuzia Paka, nikamjibu nyumbani mbona hakuna panya... kanipunguzia hadi bei na kuniahidi panya atawaleta baadae jioni...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
haaa hao waganga wakienyeji ndio hawafai mm nasemaga kama wao mafundi kweli watengeneze pesa Zao.....sasa akikuona utakoma utaambiwa ili nuksi itoke ulete jogoo mwekundu Aliyeshiba keshapata mboga ya siku iyo we mwenyewe umekata miezi sita radha ya kuku umeisahau ikoje...kweli mganga aagizi tembeleee😱
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ha ha ha ha kweli shikamoo January aiseeeh..nimechekaaa sanaaa
 
πŸ™‚πŸ™‚yahn unaanzaje visababu Mara hizi kucha mbona hazifanani na Mimi sisi kwenye ukoo wetu hakuna mwenye kichogo huyu mtoto kakitoa wapi....πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hahaaa
 
Hivi ushawahi kuwa na stress za mwezi January mpaka rafiki yako anakuambia harusi ya Dada yake kesho.......wewe unamuuliza mwili unafika saa ngapi.....πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜›πŸ˜±

Nimeicopy sehemu Fulani......
amazing
 
Hivi ushawahi kuwa na stress za mwezi January mpaka rafiki yako anakuambia harusi ya Dada yake kesho.......wewe unamuuliza mwili unafika saa ngapi.....πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€



Nimeicopy sehemu Fulani......
mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaammmma
 
Na muuza Mbwa baada ya kuzunguka sana bila kupata wateja...
Kaamua kumwachia mteja Mbwa wiki nzima acheki kama Mkali apewe chake... Na kama ni Jibwa koko amchukue...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Labda! Siwezi kuisemea hiyo maana sijui majukumu ya wengine.
 
Shikamo January sahv mm wamwisho kuingia ndani pia wakwanza kutoka Father house anatuma meseji kila siku hazijibiwi
 
Ha ha ha ha haaa akyamungu kwa mateso hayo asante mungu kwa kuniumba KE....maana unaweza tembea unaongea njiani peke yako kama chizi
Madam watu tumezoea kuongea peke yetu mbona mpaka kunamuda unaamua kujiburudisha na wimbo wowote ule as if vipindi vye redio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…