Shikamoo Kamikaze

Sielewi kwanini wanawake wanawapenda mashoga, sasa huyu shoga ataweza kweli kukukaza? Au unataka kusagwa?
 
Baba ako angemfikia hata nusu huyu jamaaa najua ungetukana zaidi ya hapo ulivotukana....hii ndo daslamu
 
Kama kwa huyo pichu zinawalowa watoto wa kike,basi mkiniona mimi mtalowesha hadi nguo mlizovaa nje. Maana ni zaidi ya handsome + pesa + elimu = ??
Subiria ujaziwe PM ndio utajua uhandsome wako uko wapi.
Halafu mwanaume kujisifia haipendezi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana ulivoelezea, Anavutia tho[emoji7] [emoji7] [emoji8]
 
haaahaaahh..mwanaume unarembua,mwanaume unatinda nyusi,mwanaume unapaka lipstick lazima uwe mzuri
 
Ungemsifia bila ya kuponda wengine, kila mtu na mvuto wake. Kwa kuponda wenginr umeishusha post yako kwa kama me as umeleta wivu full stop
 
Diamond is our man, he need our support jamn.
Sio kumfananisha na vitu vya kijinga
Diamond Ana mvuto gani[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yule ukimuona live mbayaa Ana mipele mipele usoni
 
Reactions: MC7
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…