Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria ujaziwe PM ndio utajua uhandsome wako uko wapi.Kama kwa huyo pichu zinawalowa watoto wa kike,basi mkiniona mimi mtalowesha hadi nguo mlizovaa nje. Maana ni zaidi ya handsome + pesa + elimu = ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana ulivoelezea, Anavutia tho[emoji7] [emoji7] [emoji8]Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Nimejisifu baada ya kuona mnasifia nilichokizidi.Subiria ujaziwe PM ndio utajua uhandsome wako uko wapi.
Halafu mwanaume kujisifia haipendezi
Weka pic tukuthaminishe[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sasa ungeniona mimi si ndio ingekuwa balaa, maana hanifikii hata chembe
Povu vepeee[emoji36] [emoji36] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mademu wa kibongo kwa kushobokea wanaume hawajambo!!!
Diamond Ana mvuto gani[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yule ukimuona live mbayaa Ana mipele mipele usoniDiamond is our man, he need our support jamn.
Sio kumfananisha na vitu vya kijinga
............huyo wa kwako umemnunua au umemtengeneza !??Naona wanaume povu linawatoka....[emoji126][emoji126][emoji126]sema huyo dogo hajamfkia wa kwangu...[emoji41]
Weka picha hapa tuthibitishe hatutaki maneno tupuNimejisifu baada ya kuona mnasifia nilichokizidi.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..
nafikiri kwa sababu siamini katika tabia zao..
mimi mwanaume wangu natakaga awe body ya kuvutia wastani
sura sio mbaya wala sio mzuri.. kawaida
anajipenda/gentlemen
ilimradi anapiga mswaki na hanuki kikwapa..
kikubwa kuliko chochote tabia yake..
tabia yake ikiwa njema.. nahisi hicho ndio kinanivutia 70%..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mna maneno
"eti pua kama ya mume wa Shamsa"