Shikamoo Kamikaze

Wanaume tucheze Fair play jamani, huu mchezo hauhitaji hasira. Naona wengi mnachuki ya mwenzetu kusifiwa na watoto wa kike. Mbona sisi tunawasifiaga wakina wema, jokate, nk wao wanakaaga tuliii. Some times huwa tunasifia mat.ako yao nk wao wanatuliaga tuliii.

Piaa wahenga (wahenga wa siku hizi siyo wa zamani[emoji2]) kila biaahara ina mteja wake. So play calm. Huu mchezo hauhitaji nguvu.
 
Kama kwa huyo pichu zinawalowa watoto wa kike,basi mkiniona mimi mtalowesha hadi nguo mlizovaa nje. Maana ni zaidi ya handsome + pesa + elimu = ??
Yaani wanaume huwa hamkubali kushindwa cjui ni vp[emoji23] [emoji23]
 
Kila Mwanamke ana Fantasy yake cha Ajabu kuna wake za watu wataliwa na huyo jamaaa na Hoteli watalipia haha
 
Halafu wanaume wengi mmemaimdi... lakini mbona tukiwasifia kina Wema,Zari, Huddah wanawake huwa wanatulia tuu...

saa sahzi mara mseme ushoga mara nini..
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
 
Kamikaze sio shoga bhana acheni kashfa au kakuzid ndo mama povu linakutokaa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wanaume hawapendi kupitwa ila huo ndo ukweli jamaa mtanashati wallah Duh! Namnukuu mtoa post "Mungu Fundi" kajaaliwa mtoto wa watu pongez kwa anayemkaza kwa kweli wengine sie tunawatu wana manywele mpaka kudako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
Ulisema hivyo mbele ya shemeji
 
Waambie hao[emoji23] [emoji23]
 
Wanaume hawapendi kupitwa ila huo ndo ukweli jamaa mtanashati wallah Duh! Namnukuu mtoa post "Mungu Fundi" kajaaliwa mtoto wa watu pongez kwa anayemkaza kwa kweli wengine sie tunawatu wana manywele mpaka kudako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…