Mimi sishindanishi,ila nimeongea mshangao wangu na huenda huko mliko kuna upungufu wa ma handsome ndio maana labda huyu mnamuona ni zaidi.Yaani wanaume huwa hamkubali kushindwa cjui ni vp[emoji23] [emoji23]
Basi ulikosea aisee. Ni hivi kumsifia mwanaume mbele ya mtu wako kwa sisi wanaume huwa hatupendi.
Hata huu Uzi umedhihirisha hilo
unamrumagia tu na nguru!!!Aisee huyu kaka analika bila hata kachumbari
Vipo sema ishu ni umaarufu kuna wengine hawapo famous so kuwajua ni ngumu unapokuwa maarufu au innovative wa kitu fulan lazma upendwe na watu imagine jama anegekuwa sio mwanamuziki but still angependwa na wanawakeVitamu kama hivi vipo vichache baba
[emoji1] [emoji1] pole sana kwa kofiView attachment 393929
Nilikuwa naangalia moja ya movie za huyu jamaa .. Nampendaga sana so nikajikuta nisharopokwa[emoji3] [emoji3]
wengi wao wanakuwaga cheap ndo wale madem wa bia twende wakina gig money si ndo hawaMademu wa kushobokea wasanii nawadharau sana.
Naomba nitafutie mmoja asiye maarufu kati ya hao wengi ili nimfanye spare tyre kwa kweli hahaha Shem wako ana manyavu nyavu tu, kanoga Ng'ani (kati)Vipo sema ishu ni umaarufu kuna wengine hawapo famous so kuwajua ni ngumu unapokuwa maarufu au innovative wa kitu fulan lazma upendwe na watu imagine jama anegekuwa sio mwanamuziki but still angependwa na wanawake
Sawa yupo kaka Yangu ntakupaNaomba nitafutie mmoja asiye maarufu kati ya hao wengi ili nimfanye spare tyre kwa kweli hahaha Shem wako ana manyavu nyavu tu, kanoga Ng'ani (kati)
Ina maana wewe huna kifua?Binadamu gani sasa wewe umeungana kichwa na tumbo tu bila kifua!Kafanana sana na mimi sema yeye tu ana kifua
Mimi hapa.mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..
nafikiri kwa sababu siamini katika tabia zao..
mimi mwanaume wangu natakaga awe body ya kuvutia wastani
sura sio mbaya wala sio mzuri.. kawaida
anajipenda/gentlemen
ilimradi anapiga mswaki na hanuki kikwapa..
kikubwa kuliko chochote tabia yake..
tabia yake ikiwa njema.. nahisi hicho ndio kinanivutia 70%..
Asante[emoji1] [emoji1] pole sana kwa kofi
Mapovuuuuu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wengi wao wanakuwaga cheap ndo wale madem wa bia twende wakina gig money si ndo hawa
mkuu acha kuchafuwa watu unauwakika na ulichokiandika!Sielewi kwanini wanawake wanawapenda mashoga, sasa huyu shoga ataweza kweli kukukaza? Au unataka kusagwa?
walahi angekuwa wangu ningekuwa na preshaNimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji122] [emoji122] [emoji122]