MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
H
ata hapa kwenyewe sijaona mahala popote aseme hilo aina ya zao alilopanda zaidi ya kutaja million 10 tu,anafkiri kilimo ni kwa vijana mpeche mpeche ni shughi ya wanaume hiyo tena aliyeenda jando.Kuna ule uzi ulileta mwanzo, wadau wakakuuliza umelima wapi ? Ni zao gani unapanga kulima? Ili ushauriwe humu ndani kuna wazoefu wa kila nyanja,,,, ukakaza fuvu hata hukujibu,,,, kula chuma hicho, next time toa taarifa inayoeleweka ili watu wajue pa kukushauri !