Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma Al-Watan wakiamkiwa shikamoo na mtoto bomba ambaye wanaona hastahili kutoa shikamoo huwa wanajibu "Unaniamkia shikamoo unataka kuninyima nini?".nadhan hasira zote ni kwa hao madada wanaokupa shikamoo...
mtu akishakutwika shikamoo unaanzaje kumwaga mistari?
pole
Kwanza hizo shikamoo wanataka kukunyima nini
MamboKesho wakikuamkia tena, wajibu Mambo? Watapata ujumbe kuwa hupendi shikamoo.
Ukiangalia sio wote wanapenda kuitoa sema ni mazoea tuliyokuzwa nayo.
Labda kwa kuwa tumezoeshwa hivyo tokea wadogo ukiona mkubwa wako umsalimie...Unakuta mwingine ni mkubwa wa mwili tu ila kiumri umemuacha...( unamsalimia mdogo wako, )asee ili lipo sana yaani unakuta mtu hata ni mkubwa kuliko wewe lakini kwasababu yuko field eti shkamoo dada,,wanakera hatarii sijui wanashindwa nini kusema hata goodmorning
Hakukuacha wewe salama. Labda alikuwahiUmwinyi tu..Mwarabu hakutuacha salama...
Nawe pia naona?!Hakukuacha wewe salama. Labda alikuwahi
Hii dhahama imenipata leo kanisani kuna mtoto huwa namendea sasa leo eti kanipa shikamoo nimehisi kanifananisha maana sijawahi kusalimiwa..! Kumkomesha ngoja nije nimtongoze mama yake na yeye..Ma Al-Watan wakiamkiwa shikamoo na mtoto bomba ambaye wanaona hastahili kutoa shikamoo huwa wanajibu "Unaniamkia shikamoo unataka kuninyima nini?".
Kesho yake shikamoo kwishney.
We bazazi mzazi sasa.Hii dhahama imenipata leo kanisani kuna mtoto huwa namendea sasa leo eti kanipa shikamoo nimehisi kanifananisha maana sijawahi kusalimiwa..! Kumkomesha ngoja nije nimtongoze mama yake na yeye..
hakuna cha mwili asee wanaangalia vyeo tuuLabda kwa kuwa tumezoeshwa hivyo tokea wadogo ukiona mkubwa wako umsalimie...Unakuta mwingine ni mkubwa wa mwili tu ila kiumri umemuacha...( unamsalimia mdogo wako, )
naunga mkono hojahakuna cha mwili asee wanaangalia vyeo tuu
Hahaha aiseeehakuna cha mwili asee wanaangalia vyeo tuu