Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hah hah hahMchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 5000/-, pia hakuna aliyeingia, akashusha tena 2000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 1000/-, hakuna aliyeingia, akaamua kufanya bureee watu waliingia na walikuwa wengi mno, akafungulia simba mmoja akafanya bei ya kutoka nje ni 20,000/- @
ALIKUSANYAJE HELA!!
# WACHAGA WANAPENDAGA UJINGA UNAFIKIRI#
Mnapenda sana ujinga. Mtu unakusanya pesa mwaka mzima kwa taabu halafu desemba unakwenda migombani kutambikia mizimuhahahaaaaaaa kweli hatupendi ujinga
Mnapenda sana ujinga. Mtu unakusanya pesa mwaka mzima kwa taabu halafu desemba unakwenda migombani kutambikia mizimu
Hatupendi kabisa mjini tumekuja tafuta pesaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 5000/-, pia hakuna aliyeingia, akashusha tena 2000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 1000/-, hakuna aliyeingia, akaamua kufanya bureee watu waliingia na walikuwa wengi mno, akafungulia simba mmoja akafanya bei ya kutoka nje ni 20,000/- @
ALIKUSANYAJE HELA!!
# WACHAGA WANAPENDAGA UJINGA UNAFIKIRI#