Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 5000/-, pia hakuna aliyeingia, akashusha tena 2000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 1000/-, hakuna aliyeingia, akaamua kufanya bureee watu waliingia na walikuwa wengi mno, akafungulia simba mmoja akafanya bei ya kutoka nje ni 20,000/- @
ALIKUSANYAJE HELA!!
# WACHAGA WANAPENDAGA UJINGA UNAFIKIRI#
ALIKUSANYAJE HELA!!
# WACHAGA WANAPENDAGA UJINGA UNAFIKIRI#