Shikamoo Mh:Marahaba!

Shikamoo Mh:Marahaba!

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mimi rais Mithili ya Broo Magu, simpi shikamoo, nikiingia kwenye anga zake, kama ananitumbua potelea mbari.

Naomba Mwenye picha ya mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akimwamukia mkuu wa Kaya, baada ya kuingia kweye Kumi na tano za Broo Magu, aniwekee hapa nicheke jamaa mpaka anainama kidgo, haaaaaaaaaaa, Magu Mwaka huuu, utapigiwa mpaka magoti.
 
hahah hiyo nadhani uitafute youtube utaipata tu..mwenyewe ameniacha hoi sana huyu jamaa alitamani kweli kupiga na goti aisee.,
 
Walijichanganya mpaka raha .. Unaweza jikuta unajikojolea kuona kibarua kinachezea kwenye karibu na shimo kubwa
 
niwekeeni picha ya yule jamaa.
 
Back
Top Bottom