Waambie tu "heshima yako" au "za saa hizi".Tangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Salimia hivi Asalaam aleykum kwa waislamu, na bwana asifiwe kwa Wakristo, kwa wana wape tu mambo vipi au oi oi.Tangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Kuna kimama nilikutana nacho kwenye bajaji nikakiambia "za saa hizi" kikaniletea jau eti "unalingana na mwanangu wa kwanza, nipe shikamoo yangu" yaani tabu tupuWaambie tu "heshima yako" au "za saa hizi".
Halafu mtu akiketa kimbelembele chake kudai shikamoo unampa tano.
Miim pia sipendi kuamkiwa wala kuamkiaMi nimechoshwa kiukweli, kuna watu nawapa shikamoo alafu mwishoni naishia kuonekana fala
Ungemwambia tu "Shikamboo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Kuna kimama nilikutana nacho kwenye bajaji nikakiambia "za saa hizi" kikaniletea jau eti "unalingana na mwanangu wa kwanza, nipe shikamoo yangu" yaani tabu tupu