Shikamoo ni salamu ya ovyo

Shikamoo ni salamu ya ovyo

Kuna Mwalimu wangu wa Kiswahili darasa la saba aliwahi kusema neno "Shikamoo lina maana ya Nipo chini ya miguu yako Bwana"

Anasema lina asili ya Uarabuni

Wale wenye idea ya Kiarabu waje wasaidie kutoa ufafanuzi.

The best salutation ni Hello/ Hi / Habari yako

Shikamoo limekaa kikoloni sana basi tu
 
Kuna Mwalimu wangu wa Kiswahili darasa la saba aliwahi kusema neno "Shikamoo lina maana ya Nipo chini ya miguu yako Bwana"

Anasema lina asili ya Uarabuni

Wale wenye idea ya Kiarabu waje wasaidie kutoa ufafanuzi.

The best salutation ni Hello/ Hi / Habari yako

Shikamoo limekaa kikoloni sana basi tu
Jamiiforums ni platform kubwa inawezekana kutoa pendekezo hii salamu ikafutwa,, ni ya hovyo
 
Daah kweli miaka inasogea yahn juzi tu hapa imekughafla sahv nachezea shikamoo sio poa
 
Shikamoo ni neno lenye asili ya Kiarabu linalotumiwa kumsabahi mtu. Maana ya neno hilo huelezwa kuwa kifupi cha "nashika mguu wako" kama tamko la heshima mbele ya mkubwa. Hivyo ni salamu inayotumiwa na wadogo kwa wale wanaowazidi umri, Wazazi, Walezi na wazee. La sivyo, salamu kama "habari za sasa hizi" hutumika.

Jibu lake ni "Marahaba", salamu inayotumiwa kati ya Waarabu sawa na "hujambo", ila kwa matamshi ya "marhaba". Pale jibu ni "marhabteen" yaani marhaba mara mbili.

Matumizi yake ni kawaida katika Kiswahili nchini Tanzania, kumbe huko Kenya mara nyingi haieleweki isipokuwa kwenye maeneo ya pwani.
 
Shikamoo sio salamu ni salam walokua wakitumia watumwa kwa ma master zao
Wakipiga na goti kipindi wanasalimia
Hii ndo sababu baadhi ya wazee ukiwaamkia shikamoo ukiwa wima hawaitiki

Literally shikamoo si salamu wala maamkiano sababu haitoi nafasi ya muuliza na muulizwa kujua hali yake ndo maana tunaongezea marahaba umeamkaje/umeshindaje/ haujambo?
 
Back
Top Bottom