Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

Hiki ni kipindi cha mvua jinga wewe
 
Oya Genta, Wakati mnatambika mkumbuke GSM ameshalipia posho kwa Marefarii wote, sasa tuone nani zaidi. Sasii anaweza kataa goli na kusema ni kona hiyo au anaweza kupiga filimbi ya offside kila mnapoingia kwenye eneo la goli la Yanga..
 
Eti Mvua Iwape Magoli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya Genta, Wakati mnatambika mkumbuke GSM ameshalipia posho kwa Marefarii wote, sasa tuone nani zaidi. Sasii anaweza kataa goli na kusema ni kona hiyo.
Si jambo la ajab. So halitashangaza hata kidogo. Ni moja ya mikakati ya klabu yetu Wananchi.
 
Movies za Kinaijeria zimekuaminisha kuwa kwao ndio kuna uchawi mkubwa kuliko popote duniani!!??
Pole sana.
 
Miongoni mwa mambo yanayofanya tuwe nyuma kwenye nyanja zote ni haya mambo ya kishirikina.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…