Shikamoo wachawi, nimeamka kitandani miguu ikiwa na matope kibao

Shikamoo wachawi, nimeamka kitandani miguu ikiwa na matope kibao

Mkeo huyo kakupaka matope baada ya kuona unatabia mbaya
 
shukuru umerudi.wenzako hawarudigi.wanaifadhiwa kwenye mashimo ya vyoo!!
 
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.

Msaada wenu wakuu
"Ulilala umelewa wewe.. kama kweri basi ulienda bagamoyo mara moja"
 
Back
Top Bottom