Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.
Kwingine kooote umezunguka tu BT hapa mlengwa diamond.!!!yaaan ni sheeeda..tutwaslia wenzako wakija
Ni kweli Mkuu hao ndio ninao walenga zidi sababu ndio habari ya Mujini. Je watu wanayo yasema ni kweli? mia
 
Na je in my shoes wanasema itakuja season II mbona season I imeisha kiajabu ajabu itakujaje season II bila season I kuisha?????
Hahahaaa...Ingekua season Mkasi ingekua ishafika season 100. Kama ni season si wangeaga wakasema tunakuja season tu tusibanduke?. Mkuu mambo vipi lakini? Mia
 
Ney wa mitego ni muongo tu ndio walewale wenye majumba ya 400m kumbe magumashi.

Wamuulize rafiki yako na mkewe Cynthia.....kutapanya kote pesa hawana nyumba...ss hivi wanasugua gaga kwa bajaji na lift....mpk kuhamia kino mchezo
 
kiukweli akili yako ndogo rafiki.muda wote.wa kuwafatilia hao ungekuwa umepiga mpunga kiasi gani ama kweli jakaya kazi anayo
Mkuu hili ni jukwaa la Celebrities, Kama unataka kujua jinsi kutafuta hela nenda Jukwaa La Biashara na Uchumi ulikuja huku ukijua unakuja kupiga hela, Pole sana. Mia
 
Mimi nashindwa kuelewa hivi mtu na akili zake timamu anashindwa kukaa chini atafakari nini hatima ya maisha yake, anakaa chini kuumiza kichwa BMW ya Wema imetoka wapi?????

Inashangaza si kidogo..............,

huu muda wanaotumia kuumiza kichwa BMW imetoka wapi wangekua
wamelima Shamba hekari moja wakamaliza
 
Mimi nashindwa kuelewa hivi mtu na akili zake timamu anashindwa kukaa chini atafakari nini hatima ya maisha yake, anakaa chini kuumiza kichwa BMW ya Wema imetoka wapi?????

Mbona unamuhukumu usiyomjua? Je,una uhakika gani hakutafakari hatma ya maisha yake kabla hajaandika na kupost huu uzi?
 
Heaven on Earth
Sasa wewe unaona yule punga kadinda anaweza kununua BMW nitajie wasanii wawili unaowafahamu toka umezaliwa sanaa imewapatia BMW hana kazi anayoweza fanya akapata hela ya kununulia BMW acha ushabiki maandazi we unaamini maandishi BMW sio Samsung Galaxy kwamba mda wote utashinda Instagram
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashindwa kuelewa hivi mtu na akili zake timamu anashindwa kukaa chini atafakari nini hatima ya maisha yake, anakaa chini kuumiza kichwa BMW ya Wema imetoka wapi?????

Ubaya ni kwamba sanaa inapoitwa sanaa wasanii wanatumia hela kujiendeleza ubaya huku bongo wasanii wanajiuza halafu bado wanajiita kioo cha jamii muwe mnakuwa hata kiakili basi ili wajishughulishe waache kuuza papuchi
 
Swali linaweza kukulenga hata wewe sio muanzisha thread......,

ni wengi wanumiza vichwa sio yeye tu..............

Nami nimelilenga kwako maana wewe ndio uliosema kuwa muanzisha uzi angeshalima hizo hekta, lengo langu lilikuwa tubakie kwenye mada na ikiwezekana wenye ushahidi wa hao wakina Kadinda kuhusu hilo gari waweke hili mweka uzi aproviwe wrong au right na watu jamvini.
 
Wamuulize rafiki yako na mkewe Cynthia.....kutapanya kote pesa hawana nyumba...ss hivi wanasugua gaga kwa bajaji na lift....mpk kuhamia kino mchezo

Hhhhhaaaaaaaa waliringa waleee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…