Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Ulienimention wewe ni boyaaa tuuuu,,niliona jana mnapenda ushabikii looo hhhhhhaaa mtachali midomo waziii aiseeee
Ndio mjue jamanii wanajamii umbea mtamu balaaa
Halaf Kan'ntangaze lo uliniponza jana nilikua sina muda wa kuchambana kabisaa ila poaa tu mi sina cha kupungukiwa ntabaki mi kama miiii mama la kimangaa mchanganyikoo a.k.a shombe shombee eeee patamu kwelii ndio maana mme wangu kadata chezeaaa utamu wa embe dodoo
Nimerudi upyaaa atakaenianzishia umbeaaa mimi Dinazarde nazaa nae tena mapacha dadaadeki,napita njia yangu kila mtu apite yakeee Jamii sihami ng'oooo mpaka mme wangu Redlum.anitoee,nimerudi upyaa sitak ban
Kachukua mapepo yOooteee kaacha moja lle la jana. .
Last edited by a moderator: