feisar wa moro
JF-Expert Member
- Mar 17, 2020
- 365
- 858
- Thread starter
- #21
Hapo hachomoki lazima upigwe tu daahh wezi wanatia jazba sanakuna boxer mwenzio, ila yeye ni muhaya. inaonyesha alipendwa na abiria wa kike, ikawa kama wapenzi, maana huyo dada alikuwa akimkumbatia na kujilaza mgongni kwa boxer (bodaboda wa boxer) kila mara wakiwa wote. watu around walijua ni mpenzi wake...