Shikamoo wewe kipofu uliyeniibia pikipiki na ukaiendesha

kuna boxer mwenzio, ila yeye ni muhaya. inaonyesha alipendwa na abiria wa kike, ikawa kama wapenzi, maana huyo dada alikuwa akimkumbatia na kujilaza mgongni kwa boxer (bodaboda wa boxer) kila mara wakiwa wote. watu around walijua ni mpenzi wake...
Hapo hachomoki lazima upigwe tu daahh wezi wanatia jazba sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…