Shikamoo zenyuuu: Battle

Shikamoo zenyuuu: Battle

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Kwa wakubwa tu ndo natoa hi salamu
Kwa wadogo duu, nishapokea zenu long tym,
Ni MC mkuu, nshatinga kwenye game,
Nawapeleka tuuu, mabraza na masista duu,
Kwenye hili jukwaa, naleta ushindani
Japo wengi hawa jamaa, ni maboya flani
Kwa battle wameukwaa, mkenge wa burn
Na nimevamiaa, kuwa lainisha kisha nachoma,
Ndani navunja huo ungo, ulo tanda na kisha natanua,
Njia na kuelekeza usongo, kwa hawa wauza kitumbua,
Wanao jijua hapa bongo, na kokote kwenye dunia,
Anayeweza battle, aweke japo line mbili,
Ndipo hapo, kwa mistari nta mbikiri
daaaaaaaaaaah this shit scary, it feels like ****ing bitch on da cemetary,
and whack MC wanna try this, i swear im gona stick 9" in ya hole, like i cement the whole block with cement.
 
Afuu hizo ni 16 bars
 
kwa wakubwa tu ndo natoa hi salamu
kwa wadogo duu, nishapokea zenu long tym,
ni mc mkuu, nshatinga kwenye game,
nawapeleka tuuu, mabraza na masista duu,
kwenye hili jukwaa, naleta ushindani
japo wengi hawa jamaa, ni maboya flani
kwa battle wameukwaa, mkenge wa burn
na nimevamiaa, kuwa lainisha kisha nachoma,
ndani navunja huo ungo, ulo tanda na kisha natanua,
njia na kuelekeza usongo, kwa hawa wauza kitumbua,
wanao jijua hapa bongo, na kokote kwenye dunia,
anayeweza battle, aweke japo line mbili,
ndipo hapo, kwa mistari nta mbikiri
daaaaaaaaaaah this shit scary, it feels like ****ing bitch on da cemetary,
and whack mc wanna try this, i swear im gona stick 9" in ya hole, like i cement the whole block with cement.
malenga weye eeh...
 
Mpwa sijakusahau nilidhani nakufananisha kumbe ni wewe wa siku zote...

Hihihi...siri yako bathii, wapwaz siku hizi mna hang kona gani humu?
 
Chit chat na MMU zaidi, siasa mara chache maana kule kuna ban nje nje.

Nitakuja barazani chit chat, ila ntaomba uni guide nisije zima taa na mashemeji zangu.
 
Back
Top Bottom