Mualimu wangu wa shule ya msingi aliniomba lift kuenda mjini bila kunitambua alivo ingia ali niamkia shikamo kwasbb nilikua na kitambi tena naendesha mark II, sikuumia ila ningekua sina kitu ningeumia sanaa, shikamo ukiwa masikini inauma mara mbili loh, tafuta pesa mkuu utamind hizo shikamo[emoji3] jikubali tu mkuu
Sema ila wengine wanapenda sana kuwapa wenzao shikamoo, mwingine utakuta unalingana naye kabisa ila we itikia tu maana ni ishara ya heshima katika jamii
Mwalimu wako alizingua😀😀😀Mualimu wangu wa shule ya msingi aliniomba lift kuenda mjini bila kunitambua alivo ingia ali niamkia shikamo kwasbb nilikua na kitambi tena naendesha mark II, sikuumia ila ningekua sina kitu ningeumia sanaa, shikamo ukiwa masikini inauma mara mbili loh, tafuta pesa mkuu utamind hizo shikamo
Hamna hakuzingua ndo ilivyo ukiwa amepigika una jiona bado mdogo, unajua umasikini una jinsi unavo badilisha mindset ya ntu na kujiona bado mdogo hajafanikiwa mda bado.Mwalimu wako alizingua[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuanzia sasa wakikuamkia tu, wewe waitikie asante..! Hata mimi ephen_ akiniamkia huwa ninamuitikia hivyo hivyo.Ndugu zangu wana Jamiii hizi shikamoo kutoka kwa vijana wa dogo wa form 4 au wa vets zimekuwa nyingi mpaka nachanganyikiwa .inafika kipindi naitika kwa kuibia ibia mana nahisi kama bado sio mkubwa kivile wa kupewa shikamoo za kila mara.kwahiyo sasa wakuu tunafanye kuepuka hizi shikamoo...
Ngazi tatu naonekana mkubwa ila bado siaminiSema nishajua kinachokukasirisha, hapo shida sio shikamoo, shida umekuwa mkubwa unapewa shikamoo na bado hujajipata halafu dk za jioni
Unafikiri mkubwa kihivyo ni basi tu.c rcvfvfvvbbbSema nishajua kinachokukasirisha, hapo shida sio shikamoo, shida umekuwa mkubwa unapewa shikamoo na bado hujajipata halafu dk za jioni