Shikamoo!!

Shikamoo!!

😂😂😂😂😂😂 swali muhimu sana hilo.
Ngoja niende nae taratibu
1587467276995.png
 
Daah usirudie hiyo aise utafanyiwa utani mpk uone JF pabaya shikamoo manayake umesema ww n mdogo wetu wkt unaweza kuta dogo wa jiran yupo humu unamwita hivyo
 
Daah usirudie hiyo aise utafanyiwa utani mpk uone JF pabaya shikamoo manayake umesema ww n mdogo wetu wkt unaweza kuta dogo wa jiran yupo humu unamwita hivyo
we mwache atakuwa mnyonge wetu tu kwanza mbona kama mwanafunzi huyo
 
Nahisi katakuwa kademu ka sekondari kameiba simu ya mama yake kakaingia JF badala ya kufanya online assignment ya shule
😄😄 na tuwe nawe makini si mnajuwa 6mara5 ngapi
 
Back
Top Bottom