MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nakumbuka katika Press yake ya Siku kama tatu hivi zilizopita Msemaji wa Simba SC Haji Manara alisema huku Watu wakidhani kuwa alikuwa akitania kwamba leo hii kati ya Saa 4 hadi Saa 6 hapo kuna Mvua ( ile ya ki Simba Simba ) itaachiwa kidogo kisha jua litaendelea.
Alichokisema kimetimia kwani muda huo huo karibia maeneo mengi ya Dar Mvua ilinyesha na hata sasa yapo maeneo inanyesha na kwingine kuna Manyunyu.
Akhsante Simba SC na Shikamooni. Kama Nujumu ( Tabiri ) zangu nilizopewa muda si mrefu zikienda sawa leo kuna Mmakonde anazikoga kati ya Goli 4 au 5 ila kuna uwezekano wa Yeye nae ( UD Songo ) akapata Goli 1 na kama Jini likifurahi zaidi basi kuna Kadi Nyekundu ( ya Klabu yoyote ) ila kunaweza pia kukatokea Kifo cha ama Mtu wa karibu na Timu au Mshabiki wakati wa Mapumziko au baada ya Mechi kumalizika.
Nasisitiza leo kuna ama 4 au 5 ila UD Songo nao watapata Goli 1 na hii ni kwa mujibu wa Mtaalam wangu wa Nujumu ( Utabiri ) Kama unabeti ikitokea matokeo yakawa ni tofauti na hapa basi usinilaumu Mimi cleverbright kuwa nimekukosesha Mtonyo ( Pesa ) bali jilaumu Wewe mwenyewe kwa Upumbavu wako wa kwanini humtegemei Mungu na unaamini Ndumba / Uchawi ( Wakongo au Wazairwaa wanaita Kindoki )
Tukutane Taifa japo Mimi sitoenda huko kwakuwa Moja ya Miiko niliyopewa ili Simba SC leo ishinde ni kukaa Nyumbani na Kuusikilizia Mpira kupitia Matangazo ya moja kwa moja ya Redio huku nikiwa nimevalia Vitu Maalum ambayo pengine ningesema niende navyo Uwanjani basi Watu wangenikimbia kwani ni Vitu vya Kutisha hivi kidogo na kama huna Roho ngumu huwezi Kuvibeba. Najihatarisha hivi kwa Mapenzi yangu makubwa niliyonayo kwa Timu yangu pendwa ya Simba SC.