Shikamooni Simba SC na hasa hasa Msemaji Haji Manara kwani leo ndiyo nimeamini kuwa kwa Ndumba Simba SC inaongoza nchini

Upo wapi baada ya matokeo na utabiri kanjanja ?
 
Dahhh ungeenda tu uwanjani mkuu
 
Lawama zote kwa John
 
Upo wapi baada ya matokeo na utabiri kanjanja ?

Kwani hilo Goli lao 1 halijapatikana? Hivi Simba SC imefungwa au imetolewa tu kwa Goli la Ugenini? Ninaposema wana Yanga SC wengi wenu hamna Akili msiwe mnanibishia. Yaani mmevuka tu raundi ya Pili Mwenyekiti wenu Mshindo Msolla amewataka Mashabiki Usiku huu msilale ili Saa 7 na Nusu Yanga SC ikitua pale Terminal Three mkawapokee Wachezaji wenu huku akisema eti ni Mashujaa. Hivi Siku nanyi ikitokea mkamtoa Al Ahly au mkaingia Robo kama Simba SC si Mwenyekiti wenu Msolla atawaambia wana Yanga SC wote mtembee Uchi ( Utupu ) nchi nzima? Yaani Yanga SC ni Washamba hadi mnatia Aibu.
 
Wacha hasira wewe kama kabila Fulani toka kanda Fulani
 
Una hasira wewe...simba njee!!!
 
Nimekuelewa!
Kuna familia moja ya Simba S.C ina triplet "wanazi" wa Simba.
Mmoja anaitwa GENTAMYCIN.
Mwingine ni An Eagle.
Wa tatu anaitwa cleverbright.
Familia hiyo ni noma sana kwani wamefanana kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…