Shikamooni wanawake

Shikamooni wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wanawake wana katabia kamoja kananiacha Hoi
sana, akitaka kukuacha wala hatumii sababu
kuubwaaa....Anaweza kukufumania red-handed na
Mwanamke halafu wakaangua kilio, Akaumwa
Wiki, Akapata Ulcers, halafu baada ya Mwezi eti
anakusamehe, halafu yule mfumanizi wake eti wanakuwa Friends, balaa gani hili...
Kidume
kikikusamehe call yourself a Magical Lady...Ukiepuka
makofi na ngumi shukuru!
LAKINI sasa, lile kosa
kuuubwaaaaaa amesamehe, utashangaa sababu
atakayoitumia kukuacha sasa..Utabakia mdomo wazi
miaka 8.. Mwanaume gani unanuka mdomo....Unanuka miguu...Huvai Vesti...una Kikwapa kikali...You are not
romantic kabisa...Hujui Maandalizi na Romace...

SERIOUSLY?
Yaani hapo ndo Bai-Bai,utahangaika kuomba
akurudie wewe mpaka Magufuli ahamie
Chadema, harudi Ng'oo..Sasa unajiuliza,
ule M-kosa mkuubwaa alirudi wiki 3, nanuka Kikwapa ndo ntolee???
Shkamooni wanawake...
 
Marhabaa, ukiona hivyo ujue alikuvumilia kwa mengi sasa amekuchoka
 
Ukiona hivyo ujue anasababu nyingine sio hiyo
 
Hakuna mwanaume anaekubali kushare ile pochi na mtu yeyote, kama yupo basi jina lake ni B.W.E.G.E.
Mtu akishakwambia is over, litambue hilo na likukae kichwani, ukilazimisha cha moto utakiona.
 
By the tym anakusamehe ujue hajapata ALTERNATIVE siku akipata na wew ukazingua kidogo bas inakuwa sababu
 
Hakuna mwanaume anaekubali kushare ile pochi na mtu yeyote, kama yupo basi jina lake ni B.W.E.G.E.
Mtu akishakwambia is over, litambue hilo na likukae kichwani, ukilazimisha cha moto utakiona.
Yeah, Wanaume hatupendi huo ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hadi Magufuli ahamie Chadema [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom