Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

heavyload

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
920
Reaction score
526
Sudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.

Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.

Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.

My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Du pole yake sande mjeda ila sudi naye yatamfika

Sent from my Desire530 using JamiiForums mobile app
 
Du pole yake sande mjeda ila sudi naye yatamfika

Sent from my Desire530 using JamiiForums mobile app
Sudi na Kwisa mna uwezo wa kuibua uozo kwenye jamii ila jueni kuna kitu kinaitawa" human rights violation " hiki kuna siku kitawaponza na hakitawaacha salama

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Linex juz katumiwa pesa na DJ khaleed
Mkuu Linex kaeleza kuwa pesa alizotumiwa kaenda kumhudumia mkewe aliyejifungua na dj Khaleed kathibitisha hilo na Linex hakukataa kuwa anadaiwa

Sheria ipi inayowaruhusu kina Kwisa kuingia hadi chumbani ampapo jamaaa ameacha mavazi yake na vitu vingine kama passport na boxer. Hata tu mwenye hotel hiyo achunguze athari zitakazotokana na tukio hilo kwani inaonyesha wahudumu wake ni watu wasiofahamu maadili ya kazi yao na watamfukuzia wateja

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom