Yaani mashilawadu wa Chadema walishindwa kushtukia hadi leo ubuyu upo hadharani?Inasadikika kuna waigizaji ndio waliotengeza hiyo Audio inasenakana lakini eti kuwa stive ndio kacheza sehemu ya dj ziro inasemakana lakini eti ktk group la whatsap la ccm mpya kuna kila kitu kuhusu uzushi huo haya shilawadu ufukunyuku ndio huo ebu ingieni kazini mfanye kazi tujue kulikoni