Shilawadu...Shilawadu...Tunawaona tunawaona...Tunasubiri Ubuyu!

Shilawadu...Shilawadu...Tunawaona tunawaona...Tunasubiri Ubuyu!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Haya sasa kazi kwenu Shilawadu ....msichelewe kubalance story ...
sisi wala ubuyu tunausubiri kwa hamu...

TUMEMUONA TUMEMUONA ...MWENYEKITI MWENYEKITI SIO MTU WA MCHEZOMCHEZO ..(Kwa sauti ya mshilawadu)

Yaani mwenyekiti anabembelez3a Utamu ...tena alitaka kwenda Arusha kwa ajili kuna offer ya waziri ya kuhudhuria mbugani bure.

Shilawadu Shilawadu....!!
 
Mnakula tu ubuyu. Kwakweli hii kashfa ni kubwa sana, sasa ni nani kavujisha maongezi hayo?

Simu siyo salama tena kwa waovu.
 
Mnakula tu ubuyu. Kwakweli hii kashfa ni kubwa sana, sasa ni nani kavujisha maongezi hayo?

Simu siyo salama tena kwa waovu.
Ubuyu wa wema Sepenga na mwenyekiti...sio watu wa mchezomchezo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inasadikika kuna waigizaji ndio waliotengeza hiyo Audio inasenakana lakini eti kuwa stive ndio kacheza sehemu ya dj ziro inasemakana lakini eti ktk group la whatsap la ccm mpya kuna kila kitu kuhusu uzushi huo haya shilawadu ufukunyuku ndio huo ebu ingieni kazini mfanye kazi tujue kulikoni
 
Yaani mashilawadu wa Chadema walishindwa kushtukia hadi leo ubuyu upo hadharani?

mbona Sepenga yupo kimya hadi sasa?
 
Mashemela wa ufipa hebu tuleteeni ubuyu zaidi
 
Back
Top Bottom