Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
She!
Acha kutudharau
Mwanaume kupenda umbeya anakuwa bado hajakamilika.
[Color= blue][Color= blue] Daaaah subiri wapenda Ubuyu waje[/Color]
Mbona kawaida tu hata Mkuu wetu alisema anapenda kuwafatilia hao wambea, swala la kitaifa hili.Na wanaume wazima wanajiita SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI.... pumbavu sana
aseeehMbona kawaida tu hata Mkuu wetu alisema anapenda kuwafatilia hao wambea, swala la kitaifa hili.
Unatutafuta na walahi utatupata![emoji32][emoji32][emoji32]Wanaume ni wambea kuliko wanawake! Bora umbea wa mwanamke kuliko wa mwanaume!
Ha haaaa kimoyomoyo umekubali.Unatutafuta na walahi utatupata![emoji32][emoji32][emoji32]