Shilawadu: Tumewafanya wanaume wapende umbea

Shilawadu: Tumewafanya wanaume wapende umbea

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mmoja wa wanaounda kundi la shilawadu Kwisa,ameulizwa inakuwaje wao ni wanaume halafu wafanya umbea?
Jamaa alichojibu ni kuwa wangefanya wanawake kipindi kisingenoga, kingeonekana cha kawaida ila kwa kuwa wanafanya wanaume kimekuwa extraordinary hadi wanaume sasa wanapenda umbea
 
MWANAUME ALIEBADILISHWA KUWA MMBEA SIO MWANAUME HALISI HUYU...HATA MSAFARA WA MAMBA KUNA KENGE PIA
 
Umbea huwez kuukwepa kwa namna yeyote ili uishi vizuri inakupasa pia kufuatilia watu wanafanya nn
 
Wanaume ni wambea kuliko wanawake! Bora umbea wa mwanamke kuliko wa mwanaume!
 
Aseme wafaifanya jinsia ya kiume ipende umbea maana Mwanaume hawezi akapenda umbeya!

Na hiyo jinsia ni ya huko huko Dar (wavulana wa dar) Ila sio wa huku igangidungu!
 
Labda wanaume wa dar! Wanaume wa mikoan tunashinda kwenye majaruba
 
Back
Top Bottom