Shilawadu: Tumewafanya wanaume wapende umbea

Shilawadu: Tumewafanya wanaume wapende umbea

Mmoja wa wanaounda kundi la shilawadu Kwisa,ameulizwa inakuwaje wao ni wanaume halafu wafanya umbea?
Jamaa alichojibu ni kuwa wangefanya wanawake kipindi kisingenoga, kingeonekana cha kawaida ila kwa kuwa wanafanya wanaume kimekuwa extraordinary hadi wanaume sasa wanapenda umbea



Wanaume wa Dar at their best....hapo hapo wanalalamika nguvu za kiume zinawaishia mapema. Kazi kweli kweli kuwa mwanaume wa Dar.
 
Hadi mzee wa Makinikia pale Magogoni anapenda umbea wa shilawadu
 
Back
Top Bottom