Shilawadu waenda likizo baada ya sakata la Ijumaa

naskia song ya snitch hapa

bashite hatakanyaga tena clouds
 
Inatakiwa wajitokeze waseme ukweli kwa nn alikuja kuchukua ile video na kwa nn alazimishe kuchukua inshu ile
saizi wanaogopa maswali coz hii issue itaenda mbali sana

so itakua wanaavoid kujichanganya
 
chege alisema hiyo kazi waliochagua inafanania KUPIGWA PIGWA KUVUNJWA MIGUU sasa ndio kinachotokea
 
Leo katika kipindi cha XXL segment ya "you heard" Hakukuwa na uwepo wa Kiongozi wa Shilawadu Sood Brown

Inasemekana wamepewa Likizo wote yeye na Kwisa baada ya sakata hili la Makondakta

Poleni sana vijana kwa issue iliyo watokea
Hakuna lolote, walitaka kumwaminisha rais wametendewa mabaya, ivo rais amtumbue.
 
Kwahiyo wewe unatuaminisha wametendewa vizuri?

Wewe ni maiti kabisa.
Ruge kasema hakuna aliyepigwa mitama wala kitako cha bunduki.

Ila jana tuliaminishwa ivo, na nilitaka iwekwe video, mpaka leo hakuna video.
 
Sio kila kitu ni cha kusema hadharani kama ulimsikiliza ruge vizuri utaelewa kwamba kama kuna vitu anaficha na kutofafanua vizuri baadhi ya maswali

Hata Gwajima kuna vitu alivificha kuwahusu hao clouds na aliwapa siku 3 wamsafishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…