Shilawadu waenda likizo baada ya sakata la Ijumaa

Kwa iyo isionekane makonda pekee anamakosa wakati hakuna mtu mkamilifu.
Kuna makosa ya kibanaadamu na makusudi makonda anafanya makusudi ili kuwakomoa watu fulani ndo tofauti ndo maana watu wanataka ang'oke amezidi jeuri yule bashite
 
Ruge kasema hakuna aliyepigwa mitama wala kitako cha bunduki.

Ila jana tuliaminishwa ivo, na nilitaka iwekwe video, mpaka leo hakuna video.

hata kama hawajapigwa mkuu...tukiwa na sane minds..wote tukubaliane tu kitendo kilichofanya na makonda hakikuwa cha kimaadili
 
Kuna makosa ya kibanaadamu na makusudi makonda anafanya makusudi ili kuwakomoa watu fulani ndo tofauti ndo maana watu wanataka ang'oke amezidi jeuri yule bashite
Kwa iyo Gwaji ni mtakatifu?
 
hata kama hawajapigwa mkuu...tukiwa na sane minds..wote tukubaliane tu kitendo kilichofanya na makonda hakikuwa cha kimaadili
Mi nitakubaliana na wewe iwapo Gwajima ataweka mabaya ya clouds kama alivyohaidi iwapo wasingemsafisha.
 
clouds wameshamsafisha sana kwa kuongea ukweli wa tukio lile. Kwamba clouds wana mabaya hakufanyi mtu kutumia majeshi yetu kwa mambo yake binafsi.

Hili suala msilichukulie kirahisi sana

Na sio kwa sababu magufuli amemlinda makonda basi ni jambo sahihi hilo

Hili ni suala linalopaswa kukemewa duniani kote..Just Imagine kila mkuu wa mkoa na wilaya aanze kutumia majeshi yetu vile...Tutaenda wapi

And who knows...Just imagine next day atakuja nyumbani kwako na wanajeshi wote wale

Tuwe wakweli....na ukweli utatuweka huru
 
Hata machinga wanapobomolewa vibanda vyao, wakuu wa wilaya huwa na wanajeshi na polisi wamemzunguka.

Sasa kwa usiku ule ulitegemea angeenda peke yake?

Afu ishu ya ku-balance habari sio kweli, kwani kuna kipindi huwa wanarusha afu wanasema mhusika wa pili simu yake ilikua haipatikani.
 
Leo katika kipindi cha XXL segment ya "you heard" Hakukuwa na uwepo wa Kiongozi wa Shilawadu Sood Brown

Inasemekana wamepewa Likizo wote yeye na Kwisa baada ya sakata hili la Makondakta

Poleni sana vijana kwa issue iliyo watokea
sio kusemekana, Ruge kaongea asubuhi leo, vijana wamekuwa kama nati zimefyatuka
 
Hata machinga wanapobomolewa vibanda vyao, wakuu wa wilaya huwa na wanajeshi na polisi wamemzunguka.

Sasa kwa usiku ule ulitegemea angeenda peke yake?

Afu ishu ya ku-balance habari sio kweli, kwani kuna kipindi huwa wanarusha afu wanasema mhusika wa pili simu yake ilikua haipatikani.

Kwa hiyo kwa sababu clouds walikataa kuirusha hiyo habari...Na kumbuka ni kituo binafsi kile

Je Makonda alipata wapi mamlaka ya kwenda kuingia ofisini kwa watu kwa nguvu na kutoa unnecessary demands kwa watangazaji?
 
Kama hana mamlaka aliwezaje kuingia ofisini.? Wewe unaweza kuvamia ofisi ya clouds huku unasindikizwa na wanajeshi?
 
Back
Top Bottom