Kama hana mamlaka aliwezaje kuingia ofisini.? Wewe unaweza kuvamia ofisi ya clouds huku unasindikizwa na wanajeshi?
niliwahi ishi kijiji ki1 kule kaliua kinatiwa kazaroho, waha walikuwa na msemo 1 wakiona mtu haeleweki wanamuita vipi umelebhagana, kwa hiyo shilawadu wamelebhagana kabisa,ha ha ha ha ha ha ha ha sipatii picha kwisa jinsi anavyoonekana muoga
Haina shida, kwani mke wako wewe ulimkuta bikra?ohooooo...kwahio kwa sababu simply anasindikizwa na wanajeshi ana ruhusa ya kuingia popote???
Maaan
Next time atakuja kumwingilia mke wako wakati akisindikizwa na wanajeshi na wewe utabaki unachekelea tu.
Hii ni nchi ya kidemokrasia na inaongozwa na sheria....Mtu hawezi kuja tu kuku harass kwenye kazi zako bila sababu
Haina shida, kwani mke wako wewe ulimkuta bikra?
Jibu swali, kwa hiyo wametendewa vizuri? Mbona mnashindwa kujibu mnachoulizwa? Umeambiwa toa vyeti wewe unaanza kulialia toa vyetiiiiiiiii!Ruge kasema hakuna aliyepigwa mitama wala kitako cha bunduki.
Ila jana tuliaminishwa ivo, na nilitaka iwekwe video, mpaka leo hakuna video.
ni ngumu kuwapenda tena maana zilitangulia sifa za mkulu kuwapenda ndipo ukaja uvamizi wa bwana mdogo baada ya kwanin tumesifu na kipind hakijalukasidhani hata kama President na yeye anawapenda tena ,walimkwamisha Bashite katika harakati zake za kuleta maendeleo jijini Dar es salaam
Hakuna aliyetendewa vizuri, hata makonda hakutendewa vizuri na clouds, kwani ile press nyuma yake ilikua na shinikizo la mtu kusafishwa.Jibu swali, kwa hiyo wametendewa vizuri? Mbona mnashindwa kujibu mnachoulizwa? Umeambiwa toa vyeti wewe unaanza kulialia toa vyetiiiiiiiii!
Nani mgumu WA kutolewa kafara ?Ruge kasema hakuna aliyepigwa mitama wala kitako cha bunduki.
Ila jana tuliaminishwa ivo, na nilitaka iwekwe video, mpaka leo hakuna video.
You made my day.haaaa haaaaasidhani hata kama President na yeye anawapenda tena ,walimkwamisha Bashite katika harakati zake za kuleta maendeleo jijini Dar es salaam
Ila ni kweli aseee nakumbuka sasa chege amesema na imetokea kwelichege alisema hiyo kazi waliochagua inafanania KUPIGWA PIGWA KUVUNJWA MIGUU sasa ndio kinachotokea