Shilingi hiyooooo yaporomoka

Hata Zimbabwe yalianza hivi hivi bado kuna wale wanufaika waliendelea kum support Mugabe, siku moja waliamua liwalo na liwe. Sisi Tanzania itatuchukua muda gani kujielewa na kusema basi inatosha kwa ujinga huu wa ccm?! Hawa ccm wana recycle wajinga mpaka wanaisha wataanza tena, sisi tunaangalia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


hapo ndo penye tatizo..woga na hofu juu
 
Reactions: BAK
Pumzi imeshakata jamaa hawana Dola za kutosha huko kwenye reserve ila wasivyo na aibu wanaweza kusema Dola imepanda sababu ya ziara za Tundu Lissu ughaibuni au fedha nyingi zimetolewa nje sababu ya kulipa mishahara ya TL kipindi hayupo bungeni
Mkuu Lyamber Umewaza Kama Mimi aisee hawa Wendawazimu Hawakawii Kutuambia Dollar imepanda kwa sababu ya Ziara za Our Incoming President Mr. TUNDU LISSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mradi wa standadi geji na stiglasi gharama sake zimepanda kwa tsh 200-250 kwa kila dola? Sasa tukipewa hesabu za miradi hii,kwa tsh,itakuwa tofauti na gharama za awali,kadri dola inavyopanda na gharama za miradi zinapanda kwa kuwa vifaa vingi hununuliwa nje ya nchi,ikiwemo mafuta
 
Mbona hawaongelei mchango wa mining sector? Impact ya makinikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…