Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kabisa manengelo lakini pale magogoni kuna mtu HAAMBILIKI kwa sababu yeye anajua kila kitu sasa kutokana na dhana yake hiyo potofu kaiingiza nchi kwenye mkenge kwa ukurupukaji wake na pia kuchota trillions hazina tena bila idhini ya Bunge.
Huyu mtu ni km Laana yaan