Shilingi hiyooooo yaporomoka

Fact
.. Sema yule kiumbe ni mbishi sana.. Hawezi kubali kama amekosea yani ni mbishi kawa muha vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hali ni mwiba kwa wote isipokuwa wachache tu ambao wanapata huduma zote bure kutokana na nyadhifa zao.

Inatia hasira sana kuona kama taifa hatufanyi vizuri na mbaya zaidi tunazidi kumeguka vipande vipande kutokana kuhuburi chuki kati yetu wenyewe.

Inafika mahali namuonea Mh. Rais huruma sana...lawama ni nyingi kuliko pongezi...aliingia akiwa kijana-mzee sasa sura yake sio ile ya kampeni. Tumsilaumu yeye tu, Urais ni taasisi, na kama ni taasisi kuna watu wengi wa kulaumiwa. Siogopi kusema kuwa Rais amezungukwa na wstu waoga kusimamia majukumu na wajibu wao kama mwongozo wa kazi zao unavyosema. Wamebaki kusifu hata kisichopaswa kuwekwa hadharani kwa umma.

Tumsamehe na kumhurumia Rais wetu bureee...

[emoji35][emoji34][emoji2955][emoji2955][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu katika hali ya namna hiyo unaona watu wako CALM basis ujue kuna tatizo kubwa sana
 
Kwanini hakubali ushauri wa wataalamu? wewe imagine hamna sector au wizara moja amafanikisha kwa wastani anaendelea kuharibu tu vya wezake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni walitwambia mporomoko huu ni kwa sababu eti huu sio msimu wa watalii kuja. Sasa hivi wanasema ni kwa sababu ya “decrease in export volumes of cashew nuts”, hizo korosho alizozibeba Magufuli na kuzifungia kwenye karakana za Jeshi. Acha tuvune walichopanda hawa wakoloni weusi
 
Tutatumia jeshi la wananchi kuipandisha hiyo shilingi ndani ya siku 2
 
Pumzi imeshakata jamaa hawana Dola za kutosha huko kwenye reserve ila wasivyo na aibu wanaweza kusema Dola imepanda sababu ya ziara za Tundu Lissu ughaibuni au fedha nyingi zimetolewa nje sababu ya kulipa mishahara ya TL kipindi hayupo bungeni
Polepole
Bashiru
Msiba
Hao wote majibu yao ni ya aina hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo title tu, naona ulifanya sherehe kubwa na kuanza kuandika huu uzi hukubunapiga vigeregere
 
Prof Ngowi also linked the depreciation with the recent crackdown by the Bank of Tanzania (BoT) on bureaux de change, which saw to a decrease in supply of the greenback.
One the most important statement I noted there, why did they savagely crack them down?
 
A huge DISGRACE to our beloved Country.
Huwezi kuelewa kama tayari katika fikra zako huna mtazamo chanya katika Serikali ya awamu ya tano.Watu wengi mmekuwa Wanaharakati na mna chuki za kutisha mioyoni mwenu.Ukitaka kujua kwa nini Shilingi inashuka kwa kasi dhidi ya Dola inabidi uangalie suala husika kwa mtazamo wa kiuchumi na Biashara na sio Kisiasa za Uanaharakati. Tufanye kazi tujenge TAIFA letu pendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A huge DISGRACE to our beloved Country.
Pombe ilisema inapigana vita ya kiuchumi. Sijui yenyewe ndio ilianzisha hiyo vita au vita ndio ilianzisha uchumi wa mwendokasi?

Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asiliamia 7.1 kwenye makaratasi tu. Huku kitaa ni kuishi kama mashetani.

Tunaelekea kwenye uchumi wa kuuza vitambulisho. Mimi nili-beep tu.
 
Tatizo tunajenga uchumi kwa jazba, bado nakumbuka yule jamaa alivyosema kuwa korosho zitabanguliwa na JKT kwa meno. Sijui kwa nini ccm hawataki kumshauri rais au wanafanya makusudi ili aanguke.
 
Pumzi imeshakata jamaa hawana Dola za kutosha huko kwenye reserve ila wasivyo na aibu wanaweza kusema Dola imepanda sababu ya ziara za Tundu Lissu ughaibuni au fedha nyingi zimetolewa nje sababu ya kulipa mishahara ya TL kipindi hayupo bungeni
Tumekuwa tunawambia tunahitaji uchumi jumuishi wameweka pamba masikioni ''Welfare economy''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…