Shilingi hiyooooo yaporomoka

Shilingi hiyooooo yaporomoka

They can't do anything to revert the situation, even if they will release more dollars to the economy that will only be temporary measure.Exports are down,Aid is down,FDIs are down and the government is paying standard gauge contractors with dollars.
Hiyo ndio hali halisi ,jiongeze mwenyewe.
This is sad. I hope the responsible people within the BOT and ministry of finance are doing something to revert the situation because at the end of the day this is going to affect us all from machingas, govt and private sector employees, famers, CCM, opposition's, to the lowest citizens who have no idea what FOREX is..ALL of us will suffer the negative consequences of the shilling deprecieation trend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mchumi lakini naamini ukiinvest kwa human development kuwatoa watu katika umaskini ndio watachangia zaidi katika kulipa ila ukiwatia watu umaskini sasa watalipa nini tena? vipaumbele vyetu sio sawa kabisa, ni sawa kuwa na VX nje ya nyumba lakini nyumba ya kupanga na chakula mezani shida ila ukitoka nje uko katika VX na suti ya bei mbaya nadhani nitaeleweka. tukianza kama nchi kuishi kama bongo movies kwenye mitandao lakini uhakisia taaban haya magonjwa yatatuumbua. na tumeona walichukuliwa watu kuonesha train sijui nini haya mbona nguvu nyingi zinatumika wewe fanya mazuri watu wataona tu ila serikali ikianza kujitangaza kama Mo fire basi ujuwe kuna tatizo kubwa sana tena sana. na mazuri sio kujenga magorofa tu ni hali ya mtu kujisikia mwaka jana nilikuwa napata alfu 10 leo napata 15 hayo ni maendeleo. sisi tunataka maendeleo ya miuondombinu lakini zaidi maendeleo ya watu lazima viende pamoja. sisi ukweli hatuna uwezo wa kulipa miradi kwa pesa zetu na tukilipa basi zinatoka katika akiba na hiyo hatari ndio hii, JK hakuwa na aibu kuomba maana ukweli hatuna uwezo. soon tutapiga magoti tu
 
Kula like mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pahala pazuri muno muno...Kwanza wakati naingia madarakani dola ilikuwa 5000 sasa nimeishusha hadi 2450 hivyo tembeeni vifua mbere!
 
Matumizi ya dola kwenye kuagiza bidhaa nje huathiri local business ndani ya nchi. Hata baadhi ya project kubwa hulipwa kwa USD ukiachilia mbali bado biashara nyingi zinafanyika hapa Tanzania kwa matumizi ya USD. Serikali yenyewe huweka akiba ya USD ili kununua bidhaa kuagiza bidhaa muhimu nje ya nchi kama mafuta n.k sasa matumizi ya dola yanapokua juu huathiri shilingi kwahiyo hapo mbeba mizigo ,muuza ,mboga, dalala mmachinga wote tunaumia. Nimejaribu wachumi wataeleza zaidi
Kwani bongo kuna mbebaji mizigo anayelipwa kwa dola?
 
Mm Nadhani kosa kubwa lilikuwa kufungia baadhi ya maduka ya kubadilisha fedha..... Kwani yalikuwa yanasaidia mzunguko wa fedha za kigeni.. Uzuri tuna wataalamu wa fedha wazuri watarekebisha makosa.
 
“Eventually, the consumer will suffer the consequences. Mi nimeshika hapo tu.
 
Aiseee hilo fagio la chuma litaleta kilio kikuu mtaani, shida ni kwamba watanzania hatuna uzalendo wa kweli, tungekuwa wazalendo wa kweli muda huu tungekua tunaongea mengine.
Hata ukimtoa huyo mnamuweka nani katika hicho kiti? Tuwe wakweli wa tz bado hatujajua tuna mtaka rais wa aina gani.hata lisu nae n wale wale tu WANASIASA NI WATU WABAYA SANA
 
Tuko pazuri, nasema tuko pazuri na tunaelekea kuwa dona kantiri, nyie endeleeni kulalamika ovyo tu ila sisi tunasonga mberee na standard geji pamoja na madege yetu ya kizalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kondom zimeadimika, sio kwa sababu hatuna hela za kununua, ila tunaboresha viwanda vya ndani , sasa tumieni mifuko ya asikirimu zile za shilingi mia mia
 
Hata ukimtoa huyo mnamuweka nani katika hicho kiti? Tuwe wakweli wa tz bado hatujajua tuna mtaka rais wa aina gani.hata lisu nae n wale wale tu WANASIASA NI WATU WABAYA SANA
Nani kamtaja Lissu hapa Mkuu?
 
Lumumba FC furahieni kuporomoka kwa shilingi, mlisema magufuli ni kama nyerere.

Waambie "wazalendo wa kweli" waandamane kuunga juhudi za kupolomosha shillingi kw graph hii mpka 2020 itkuwa 3500.
 
Back
Top Bottom