crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
Tunashuhudia shilingi ikiporomoka kwa kasi ya ajabu.
Kutoka shs 1610 kwa $ hapo january 2o14 hadi shs 1677 leo hii.
Jee uchumi unayumba?
Mambo gani yanasababisha kushuka fedha yetu? Jee ni kupungua kwa exports?
Jee zile 200 Billion za IPTL zilizoingia sokoni sio sababu?
Halo hii imesababisha mfumuko wa bei za bidhaa madukani.
Upande wa pili wa mungano yaani Zanzibar hawahusiki na mfumuko huu ila wao wanapata machungu tu ya mfumuko usowahusu...ni hasara kwa uchumi wa znz na kwa wazanzibari kuendelea kupata mkomoto wa kiuchumi kwa sababu kina Ali Kessy hawaoni hili na vibaraka wao pale kisiwandui ni vifuu vya nazi