Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Maduka mengi tu wanakataa sarafu za miatano hata mteja ukirudishia sarafu nyingi za miatano wanakataaIn duka gani ulipeleka hizo sarafu wakakukatalia?
Wewe ndo hujaelewaHueleweki
Kumbe kushiba hela ni kesi siku hiziKukataa kupokea pesa halali ni kosa la kisheria na lina adhabu yake.
Chuma ulete huzipendelea Sana sarafu za jerojero
Mkuu thanks for the link.
Nitakuwa naenda bank mkuu kuzibadili nilikuwa sifahamu mana nazipata mara kwa mara kwa wingi50,000 tu? Nenda bank au vituo vya daladala watakupa noti.
Una mwambia nani.Punguza kuvuta bangi mzee
Nipe basii mdogo ukiwa unazipata, me nazipenda kweli kwenye usafiri wa daladala..!Hata mimi sipendi hela za sarafu sijui kwanini! Yaani nikizipata huwa naomba nibadilishane na mtu anipe noti au nitanunua chochote ili tu nisikae nazo!
Nipe basii mdogo ukiwa unazipata, me nazipenda kweli kwenye usafiri wa daladala..!