Shilingi Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza,wanaolipwa CD, DC na wenzao

USILALAME HOVYO, MUDA MLIPEWA WA KUFANYA MABADILIKO, MKAAMBIWA WANATUCHELESHA HAO, SASA NI SPEED YA ROCKET TUUU KILA KONA.
 
Perdiem kwa siku kwa mtu 1 utakuta laki 3 utaazaje kushindwa kuwatoa machinga kwenye barabara
 
Unachoeleza na nilichocomment ni tofauti.

Mimi nimetembea sana na hata sasa hivi nipo Kenya.

Nchi yoyote ambayo haina udhibiti wa rushwa na wizi serikalini, hiyo nchi huanguka.

Europe moja ya sababu kubwa kuwa walipo hadi sasa ni kutokana na udhibiti mkubwa wa pesa za umma
South Africa miezi michache tu iliyopita walimfunga aliyekuwa raisi wao sababu ya rushwa na wizi wa pesa za serikali.
Lengo ni kudhibiti Hilo kwa namna yoyote.

Serikali ikishindwa kudhibiti rushwa na wizi wa pesa zake, itashindwa kufanya Jambo lolote la Maendeleo.

Hadi leo Tz tupo hapa sababu ya Hilo, kila kiongozi akiingia anawaza kuiba na kuondoka.
 
Tumesikia lakini hameni kwanza mmeziba njia za watembea kwa miguu, barabara na mitaro,msitafute huruma za watu.
 
Posho za vikao sio wizi wala Rushwa naoana ndugu yangu tunaongea LUHGA tofauti lkn unayo haki ya kuamini unacho kiamini na kama upo KENYA [emoji1139] na unaishi huko unge appreciate TANZANIA [emoji1241] hao watu ndio wafuasi wakubwa wa CAPITALISM na Wizi na Rushwa huko naona ktk EA ndio kuna nuka hasa anyway mchana mwema brother.... keep it up brother make sure una wacha watoto wako kwenye mfumo wa kujitambua wao kwanza.
 
Haya ndiyo mojawapo ya matumizi ya tozo za miamala tunazolipa. CCM Oyeeeeee!
 
Umaskini hauishi kwa kunyima watu posho bana,hyo za maskini zina budget yao
 
Sio rocket science kuona tamaduni za kufanya kazi serikarini zinarudi wapi.

Tanzania sio nchi ya kuendesha kistaarabu; kuna watu wamekuwa waheshimiwa tangia ujanani pengine ndio sababu hawazijui tabia za watanzania halisi.

Ni hivi kwa watanzania utaheshimiwa ukiwa mpole mbele ya watu wanaokujua tu na kwa sababu wana experience ya wewe ukikasirika unabadalika kuwa mnyama wa aina gani.

Watu wasio na experience na ukali wako au ukali wenyewe ukiwa wa mara moja mara moja kuna wapuuzi wengi tu watakujaribu.

Mimi pia ni mpole in real life sasa wanaonijua at personal level na kwa kweli ni wachache wanajua mipaka yao kwenye kunijaribu, nikiwaka especially kama umri unalingana someone is gonna be hurt.

Sasa ukisikia mtu anasema kilatha abc jua hanijui vizuri; hapa nilipo kuna mtu amenijaribu sema anajificha ngoja nimkamate.

Hizi ndio sababu wengine tunasema achana na style ya uongozi wa JK rudi alipoacha Magufuli. Hii sio nchi ya kuwa kiongozi mstaarabu, wanaomsifia mama wana maslahi yao binafsi au bendera fuata upepo.
 
Umaskini hauishi kwa kunyima watu posho bana,hyo za maskini zina budget yao
Hakuna sehemu nimesema watu wanyimwe posho, Bali nimemjibu huyo aliyesema wacha waibe tu
Zingekuwa na budget basi hadi Leo mambo yangekuwa Safi.
Moja ya sababu kwa nini bado tupo hapa ni misallocation ya funds.
 
Wananchi wajinga na wapumbavu ndio source ya mambo ya kijinga.
Tukiwaelimisha humu hawaelewi wanatuona sisi ni wapinzani .
Walipane tu haki yao, anayefanya kazi alipwe ni haki yake.
Umewaelimishaje mkuu?
 
Sisi tunaozunguka nyumba kwa nyumba kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO 19 hata bajeti haijapangwa.
 
Magaidi wanalipana🤣🤣🤣


Hawa utawasikia Katiba Mpya haileti Ugali
 
Mkuu weww unaishi nchi gani?? tena hizo ni ndogo sana kwa magaidi hawa.
 
Hizo pesa si zinatosha kabisa kuwajengea miundombinu mizuri hao Machinga.

Waziri Ummy fuatilia Hawa na ikibainika watimue hao Wakurugenzi.
 
wewe badala ya kulaumu machinga walioingiza hiyo gharama unaleta umbeya hapa- JIUZURU UDIWANI KUONYESHA HASIRA ZAKO
 

ufisadi hautaisha nchi labda imepitishwe sheria ya kunyonga watu wanaopatikana na hatia ya ufisadi lkn vinginevyo sijui.majipu yako kila idara na taasisi zake.kila kukicha wanafikiria namna ya kupiga pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…